STANDARD CHARTERED BANK YAWEKEZA BILIONI 2.2 KUPITIA MRADI WA KUSAIDIA VIJANA, WENYE ULEMAVU

* Serikali yapongeza jitihada hizo zitakazotengeneza ajira kwa vijana SERIKALI Imepongeza jitihada za Benki ya Standard Chartered ambayo imezindua rasmi mradi wa ‘Futuremakers Initiative-Ready for Inclusive Suistainable Employment and Enterpreneurship (RISE/E) wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni mbili wenye lengo la kukuza matarajio ya ajira kwa vijana wenye ulemavu pamoja na kusaidia biashara ndogo…

Read More

KUAMBIANA INVESTMENT WAALIKA WATEJA WAO KWENYE BONANZA

KAMPUNI ya Kuambiana Investment yandaa Bonanza Kwa ajili ya Kuwakutanisha karibu wateja wao na kuweka Sawa Miili yao Kwa Michezo mbalimbali . Akizungumza na Wanahabari Makao Makuu ya ofisi ya Kuambiana Sinza Jijini Dar es Salaam Meneja wa Kampuni hiyo Anna Minja amesema Wanatambua mchango mkubwa kutoka kwa Wateja wao ambao wamekuwa wakishirikiana nao kwa…

Read More

BENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27

  Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika  Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia 1.72….

Read More

 Wawakilishi waonyesha udhaifu, uimara wa bajeti

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameanza mjadala wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 wakionyesha udhaifu na uimara wake, huku  wakitaka isiishie kwenye makaratasi. Wakichangia bajeti hiyo ya Sh5.182 trilioni iliyowasilishwa barazani Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya, baadhi ya wawakilishi wamesema bajeti hiyo ni…

Read More

Mbowe kuongoza operesheni GF ya siku 21 Kanda ya Kaskazini

Arusha. Mwenyekiti wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe  anatarajiwa kuongoza operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama kuanzia ngazi ya chini maarufu “Grassroot Fortification (GF) itakayoanza Juni 22, 2024.  Operesheni hiyo inatarajiwa kufanyika katika majimbo 35 yaliyopo mikoa ya Kanda ya Kaskazini ambayo ni Arusha, Manyara, Tanga na Kilimanjaro. Akizungumza na…

Read More

TCB Yatangaza Ongezeko Kubwa la Mapato kwa Mwaka 2023

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Sh Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Sh Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023, ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Sh Bilioni 172.83 sawa na asilimia 1.72….

Read More