
Mbowe awasili nyumbani kwa RAS K’njaro, atoa pole kwa familia
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS), Tixon Nzunda (56) kutoa salamu za pole. Mbowe akiwa ameambatana na viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, alifika nyumbani hapo jioni ya leo Jumatano Juni 19, 2024. Nzunda na dereva wake, Alphonce Edson…