Msingi Umewekwa kwa Uamsho wa Kikristo Barani Ulaya.

HITIMISHO lililofanikiwa la Semina ya Ulimwengu nchini Ufaransa.Unabii wa Ufunuo na Utimizo Wake Wafichuliwa… Zaidi ya Washiriki 7,000 Wakiwemo Wachungaji 1,000.Mwenyekiti Lee Man-hee. “Tambua Ufunuo na Uufundishe kwa Wumini wa Kanisa Lako”Wachungaji wa Ulaya Waliohudhuria: “Tunataka Kujifunza Ufunuo”… Matarajio ya Uamsho wa Kanisa Kupitia Mabadilishano ya Kuendelea “Mafundisho yanayofafanua Kitabu cha Ufunuo yalikuwa ya kina…

Read More

Benki zachangia Sh3.9 trilioni kwenye kodi

Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Sekta ya benki nchini Tanzania imeonyesha kuwa sekta hiyo imechangia zaidi ya Sh3.9 trilioni kwenye mapato yatokanayo na kodi katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2021 hadi 2023. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chama cha Mabenki Tanzania (TBA) uliohusisha benki 26 ukilenga kuonesha mchango wa…

Read More

Sababu Polisi kumkomalia Dk Nawanda

Dar/Mwanza. Wakati waandishi watatu waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakiachiwa kwa dhamana, usiri umeendelea kutanda dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda kama ameachiwa au anaendelea kushikiliwa. Waandishi hao, Dinna Maningo, Mwanga Wachu na Costantine Mathias wameachiwa leo Alhamisi, Juni 20, 2024 baada ya kushikiliwa kwa siku…

Read More

Nzunda aagwa Kilimanjaro, madereva wa Serikali wanyooshewa kidole

Moshi. Wakati mamia ya waombolezaji wakiaga mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda (56), aliyefariki dunia kwa ajali ya gari yeye na dereva wake, serikali imetakiwa kuwabana madereva wote wakiwemo wa Serikali wanaovunja sheria za usalama barabarani na kusababisha ajali zisizo za lazima. Nzunda na dereva wake, Alphonce Edson(54) walifariki Juni…

Read More

WANANCHI WA BARIADI WAVUTIWW NA ELIMU YA FEDHA

Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, akiwa miongoni mwa timu ya watoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, miongoni mwa elimu aliyotoa ni pamoja na kuwaelimisha wananchi njia mbalimbali watakazotumia…

Read More