CHAMA CHA UMOJA WA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI TANZANIA (TUCASA), NI MUUNGANO WA VYAMA VYA MAKANDARASI NCHINI. CHAMA KIMESAJILIWA RASMI TAREHE 12 SEPTEMBA 2023.
CHAMA HIKI KINALENGA KUSIMAMIA NA KUTETEA MASLAHI YA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI WOTE NCHINI, KWA LENGO LA KUBORESHA BIASHARA YA UKANDARASI NA SEKTA YA UJENZI KWA UJUMLA.
JIUNGE SASA KWANI UMOJA NI NGUVU.
OFISI ZETU ZIPO;
GHOROFA YA 4, JENGO LA SKYCITY MALL,
BARABARA YA CHUO KIKUU MKABALA NA MLIMANI CITY,
P.O BOX 33482 DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
WEBSITE: WWW.TUCASA.CO.TZ
TEL: +255746888500.
TUCASA YAWAKARIBISHA SIKU YA MAKANDARASI