TAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU

-Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na kuifanya Tanzania kuendana na mapinduzi ya nne ya viwanda yanayotumia TEHAMA. Amesema kuwa mifumo hiyo pamoja na mambo mengine itasaidia kuwabana watumishi wazembe. “Kunahitajika msukumo kuhakikisha mifumo…

Read More

Rufaa yamnasua hukumu ya kunyongwa hadi kufa

Arusha. Mahakama ya Rufani imemwachia huru mkazi wa Kahama, Richard Jacobo aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua dereva teksi, Patrick James. Jacobo na mwenzake Raphael Pius walihukumiwa adhabu hiyo na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Juni 29, 2021. Walidaiwa wakiwa kama abiria kwenye taksi hiyo waliyoikodi, walimuua Patrick na kutelekeza…

Read More

Walima ufuta walalamikia mfumo wa TMX

Mtwara. Wakulima wa zao la ufuta mkoani Mtwara wameeleza kutoridhishwa na uendeshaji wa minada kupitia mfumo wa Mauzo wa Kieleteoniki (TMX) wakihoji uwazi wa nani anayeanzisha na kufunga mnada huo. Akizungumza jana Jumamosi Juni 22, 2024 baada ya kumalizika kwa mnada wa pili uliofanyika wilayani Masasi ambako zaidi ya tani 8,000 za ufuta zimeuzwa kwa…

Read More

Urais wa Dk Mwinyi Zanzibar waibua mjadala

Unguja. Uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Zanzibar kutangaza dhamira ya kumuongezea muda Rais Hussein Ali Mwinyi wa kuongoza kutoka miaka mitano hadi saba, umewaibua wadau wakipinga hatua hiyo, huku wakiihusisha hatua hiyo na kile walichokiita nia ovu ya kuvunja Katiba na kukiuka misingi ya demokrasia. Wadau hao wakiwemo wanazuoni wa sayansi ya siasa, wamekwenda…

Read More

Matumizi makubwa ya mbolea, viuatilifu tishio jipya Tanzania

Arusha. Matumizi makubwa ya mbolea za kisasa na viuatilifu yametajwa kutishia usalama na uhakika wa chakula nchini Tanzania.  Inaelezwa hali hiyo inasababishwa na kuibuka kwa wadudu waharibifu, magonjwa mapya ya mimea na viumbe vamizi. Watafiti wa Afya ya Mimea na Viuatilifu nchini (TPHPA) wameiomba Serikali na wadau wa kilimo kuunganisha nguvu kukabiliana na changamoto hiyo….

Read More