
Italia yatoka sare na Croatia, Albania yafungwa na Uhispania – DW – 25.06.2024
Katika mechi iliyochezwa mjini Duesseldorf, Uhispania iliifunga Albania 1-0 na kukamilisha hatua ya makundi ya Euro 2024 kwa kushikilia nafasi ya kwanza ya kundi B, baada ya kushinda mechi zote tatu na kujikusanyia jumla ya alama 9. Bao la Uhispania lilipachikwa nyavuni na winga wa timu ya Barcelona Ferran Torres katika dakika ya 13, na hivyo…