
Mfahamu Costasnia, mwanamke mwenye kofia nne kwenye michezo
Mwanza. ‘Dhahabu ili ing’ae lazima ipite kwenye moto’ ni msemo ambao ameutumia Costasnia Kisege ambaye ni Mwalimu, Mwamuzi wa Mchezo wa Netiboli Ngazi ya Taifa, Mratibu wa Michezo Wilaya ya Maswa na Katibu Chama cha Mpira wa Netiboli Simiyu, wakati akielezea safari yake ya kuingia kwenye michezo. Mama yake alipenda michezo baba yake hakupenda Anasema…