
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 28,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 28,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 28,2024 Featured • Magazeti About the author
Boti hiyo ni yapili kutolewa wilayani Mkinga kwa jumuiya za kamati ya uhifadhi wa Bahari ya eneo moja la uvuvi( CFMA- collaborative Fisheries management area) ya Boma Mahandakini yeye vijiji tisa. Kutolewa kwa boti hii litasaidia kuongeza wigo wa doria za ulinzi kwa Vijiji zaidi ya 9 vya kata za Boma na Moa. Akikabidhi Boti…
Dar es Salaam. Imeelezwa kutokana na baadhi ya watu kukosa ujasiri wa kufanya uamuzi binafsi katika kuzichangamkia fursa, hali hiyo imesababisha walio wengi kuwa masikini. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi, Juni 27, 2024 na wadau mbalimbali katika mdahalo ulioandaliwa na Benki ya CRDB, ilipoungana na wadau wengine kuadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani (International MSME Day) kwa…
Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili akizungumza katika kongamano hilo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( Muhas) Profesa Appolinary Kamuhabwa kizungumza mara baada kufunguliwa kwa kongamano la 12 la Kisayansi la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)…
Nairobi. Bunge la Kitaifa la Kenya halitaitishwa kwa kikao maalumu kujadili upya Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 ambao Rais Rais William Ruto ameamua kutousaini. Muswada huo umeibua maandamano nchini humo kwa vijana maarufu Gen Z kuvamiwa kwa majengo ya Bunge Jumanne, Juni 25, 2024. Spika wa Bunge hilo, Moses Wetangula, ambaye amepokea…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuzingatia utamaduni wao na katu wasiendekeze utamaduni wa kigeni kwan kwa kufanya hivyo ni sawa na kuuza uhuru wao kama nchi. Dkt. Biteko amesema hayo Juni 27, 2024 katika viwanja vya Kisesa, wilayani Magu, Mkoani Mwanza wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu…
Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) inatarajiwa kuketi Juni 30, 2024, pamoja na mambo mengine masuala sita yakitajwa kuwa na uwezekano wa kuibuka. Msimamo wa CCM kuhusu mgomo wa wafanyabiashara nchini, chokochoko za kumwongezea muda wa kukaa madarakani Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi na hatua za chama hicho dhidi ya…
NYOTA wawili wakubwa wa timu ya taifa ya Morocco kwa sasa wapo nchini kwa ajili ya mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu ulioisha wa 2023/2024. Wa kwanza ni beki Achraf Hakimi ambaye anacheza soka la kulipwa Ufaransa katika miamba ya soka nchini humo, PSG ambayo imemaliza msimu ikiwa mabingwa, huku Mmorocco huyo akiwa miongoni mwa…
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga wakitia saini hati ya makubaliano ya utekelezaji miradi CSR na mgodi wa WDL kiasi cha Tsh.1,000,000,000/= itakayotekeleza jumla ya miradi mbalimbali kumi na mbili (12) kwa mwaka wa fedha 2024/2025 leo Juni 27,2024 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo. PICHA na Sumai Salum Na Sumai Salum –…
Dodoma. Serikali ya Tanzania na Jumuiya ya Wafanyabiashara (JWT) wamefikia makubaliano ya kumaliza mgomo wa wafanyabiashara uliokuwa ukiendelea nchini baada ya kuweka maazimio 15. Makubaliano hayo yametangazwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 27, 2024. Mgomo huo ulianza Juni 24, 2024, katika eneo la…