*Sloti ya Crazy Time
*Unachezaje Sloti ya Crazy Time?
Unatakiwa kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka dau lako hapo. Tumia namba 1, 2, 3, 5, 10 kwenye mchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo ya kushinda bonasi za kasino zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.
Cash Hunt ni mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrini kubwa yenye mazidisho 108 yasiyo na mpangilo maalumu. Coin Flip ni mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa au mwenge” ambapo shilingi yenye rangi mbili – Nyekundu na Bluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi hiyo inaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamani hiyo.
Pachinko ni mchezo wa bonasi ambao unahusisha ukuta wa mazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16 za mazidisho ambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida.
Na mwisho ni Crazy Time yenyewe, mchezo huu wa bonasi ya kasino unamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingia kwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.
Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kede ikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindi Gurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufe chekundu ili kilisimamishe.
Kikubwa zaidi, unaweza kujishindia hadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time. Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet na ushinde!!