AMERICARES YATOA MATIBABU BILA MALIPO KWA WAGONJWA WA FISTULA MKOANI SHINYANGA

Na Mwandishi wetu – Malunde 1 blog Shirikala Americares limeendesha zoezi la utoaji wa huduma ya matibabu ya bila malipona kufanya operesheni ya ugonjwa wa fistula kwa kina mama waliobainika kuwa naugonjwa huo ndani ya mkoa wa Shinyanga. Zoezihilo la matibabu limefanyika kwa muda wa siku tatu katika hospitali ya Rufaaya Mkoa wa Shinyanga iliyopo kata ya Mwawaza manispaa ya Shinyanga….

Read More

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF

  Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana nakufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko waTaifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge JijiniDodoma, tarehe 28 Juni, 2024.Mazungumzo hayo yalihusuutaratibu wa ulipaji mafao ambao NSSF imeendelea kuuboresha kupitiamifumo ya TEHAMA. …

Read More

Serikali ilivyojipanga uboreshaji milki za ardhi

Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa Sh346 bilioni na Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi. Mradi huo unalenga kuimarisha usalama wa milki za ardhi na kuwezesha miundombinu ya usimamizi wa rasilimali hiyo nchini. Majaliwa amesema hayo leo Juni 28, 2024…

Read More