MichezoManji afariki dunia nchini Marekani Admin1 year ago01 mins 19 Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku jijini Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu. Post navigation Previous: Banda asikilizia Qatar, Sauzi na TanzaniaNext: Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ajiunga na CCM – DW – 30.06.2024