
Wasomi wataja tiba kumaliza migomo ya wafanyabiashara
Dar es Salaam. Wataalamu wa uchumi wameshauri njia zinazoweza kutumika kumaliza migomo inayojirudia ya wafanyabiashara nchini, wakipendekeza kufanyika utafiti wa kina utakaosaidia kutungwa sera ya namna ya kufanya biashara. Pia wamehimiza kuaminiana, kufanya makadirio ya kodi yaliyo ya haki na yanayolipika na kuwapo majadiliano. Wameeleza hayo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takribani siku…