ADC kupata viongozi wapya leo

Dar es Salaam. Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed akimekipongeza   Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), kwa kuweka utaratibu wa ukomo wa uongozi licha ya uchanga wake. Amesema chama hicho ni kichanga lakini kimezidi kukua, huku kikiwa na wanasiasa wakongwe na wabobezi. Ahmed ametoa pongezi hizo leo Juni 29, 2024 wakati…

Read More

Dabo hataki kurudia makosa msimu

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amefunguka hataki kurudia makosa ya msimu uliopita katika michuano ya kimataifa na kusema ndio sababu iliyomfanya awaite mapema kambini mastaa wa timu hiyo ili kutengeneza muunganiko baada ya sajili mpya na kuiweka timu freshi kabla ya kuliamsha 2024-2025. Msimu uliopita Azam licha ya kumaliza nafasi ya pili katika…

Read More

Wanafunzi saba mbaroni sakata la kufanyiana mitihani chuo kikuu

Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaamimekiri kuwashikilia watu 17 wanaotuhumiwa kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT). Mbali na watuhumiwa hao, limethibitisha kuwashikilia wanafunzi saba wanaodaiwa kuwa ndiyo waliokuwa wakifanyiwa mitihani hiyo, huku wengine 10 wakiendelea kusakwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Juni 28, 2024 na Makamu Mkuu…

Read More

Zawadi Mauya afunguka yaliyojificha Yanga

KIUNGO aliyemaliza mkataba Yanga, Zawadi Mauya ameizungumzia misimu minne ndani ya kikosi hicho jinsi ilivyompa upana wa kufanya kazi yake kwa weledi, licha ya kushindwa kuanika dili la kutua Singida Black Stars (zamani Ihefu) inayodaiwa kumpa mkataba wa miaka miwili. Mauya alijiunga na Yanga, Julai Mosi 2020 ambapo msimu ulioisha alimaliza mkataba na Mwanaspoti limepata…

Read More

WATAALAMU WA USAFIRISHAJI MSD WAJENGEWA UWEZO

Wataalamu wa Usafirishaji wa Bohari ya Dawa (MSD) wameendelea kujengewa uwezo kupitia mafunzo mbalimbali yanayohusu Kada yao ya usafirishaji yanayoandaliwa na taasisi. Wataalamu hao wanapatiwa mafunzo katika maeneo mbalimbali yakiwemo Afya ya Akili, udereva wa kujihami, alama za barabarani, ukaguzi wa magari, sheria za usalama barabarani, upakiaji wa mizigo na namna bora ya kuendesha magari…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Nahimana anajiandaa kusepa Namungo

KIPA wa kimataifa wa Burundi, Jonathan Nahimana anayeidakia Namungo huenda msimu ujao asiwe sehemu ya kikosi hicho baada ya kukichezea kwa miaka minne. Inaelezwa Namungo haina mpango wa kumwongeza mkataba Nahimana ambaye aliichezea mechi 34 na mwenyewe ameanza kufikiria maisha mapya nje ya timu hiyo ya Kusini mwa Tanzania. Namungo inatajwa kumalizana na kipa wa…

Read More

Wasiwasi bomba la gesi kufukuliwa, TPDC yafafanua

Dar es Salaam. Wakati wananchi wa Mtaa Mpya, Kata ya Ulongoni B, wakileza kuwa na wasiwasi wa bomba la gesi asilia lililopita maeneo hayo kuwa wazi kufuatia kuzolewa kwa mchanga juu yake, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limesema bada bomba hilo ni salama Bomba hilo ndilo linalosafirisha gesi asilia kutoka Mtwara kupeleka katika…

Read More