
BOTRA WAPANGA MIKAKATI WA KUBORESHA CHAMA CHAO.
Wanachama wa Chama cha Wastaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BOTRA) wamefanya mkutano mkuu wa mwaka na kujadili ya Mpango Mkakati wa BOTRA wa miaka mitatu, 2025 hadi 2027. Mpango Mkakati huo unalenga kuongeza idadi ya wanachama, kuongeza motisha kwa wanachama, kuendeleza uanachama hai, kupanua uwezo wa chama kimawasiliano kwa ajili ya kuwafikia kwa wakati…