Zaidi ya kaya laki 3 kuondolewa kwenye mpango wa TASAF

Tathmini zilizofanywa na Mfuko wa maendeleo ya Jamii ( TASAF ) zimeonyesha kuwa kaya 394,000 zainaweza kujimudu kiuchumi hivyo kuondolewa kwenye mpango wa kusaidiwa na mfuko huo huku kaya 900,000 za nchi nzima zikiendelea kubaki kwenye mpango huo. Akizungumza hii leo kwenye ziara ya wadau wa maendeleo walio watembelea baadhi ya wanufaika wa Mfuko wa…

Read More

Deni la Taifa la Sh1 trilioni lilivyoibua mjadala Zanzibar

Unguja. Mkutano wa 15 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar umehitimishwa Juni 27, huku miongoni mwa hoja zilizotawala mjadala ikiwa kuhusu deni la Taifa la Sh1 trilioni. Katika mkutano huo uliokaa vikao 30 kujadili bajeti za wizara 18, wajumbe wa baraza walijadili na kuipitisha bajeti ya Serikali yenye mapato na matumizi ya Sh5.1 trilioni. Mbali ya…

Read More

Wanafunzi wa ukaguzi kunolewa nchi nzima

Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya ukaguzi wa ndani, wameanza safari ya kuwajengea uwezo na ujuzi wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wanaosomea fani hiyo ili kuwapata wakaguzi bora, wenye weledi na maadili kwa ajili ya siku za usoni. Hayo yameelezwa Juni 28, 2024 na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakaguzi wa Ndani ya…

Read More

Kigogo Takukuru, wenzake walioachiwa huru warudishwa kortini

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania, imeamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa ikimkabili mhasibu wa zamani wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Geofrey Gugai na wenzake watatu, walioachiwa huru Novemba 2021. Katika kesi hiyo, waliyoachiwa huru na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Gugai pekee alikabiliwa na mashtaka ya…

Read More

Mapya yaibuka ajali ya moto Arusha

Arusha. Watumishi wawili wa afya katika kituo cha Levolosi jijini Arusha wamesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe kazini na kusababisha watoto watatu wa familia moja kufariki kwa ajali ya moto. Rungu hilo limewaangukia watumishi hao Juni 28, 2024 baada ya tuhuma zilizoelekezwa kwao moja kwa moja na baadhi ya wananchi…

Read More

Waziri mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Great Ruaha Marathon

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewakaribisha wakazi wa mkoa huo kujitokeza kushiriki Mbio za Great Ruaha Marathon ili kuendelea kuupa thamani Mkoa katika utalii. Serukamba amezungumza hayo leo akiwa ofisini kwake ambapo huku akitaja kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ndiye anayetarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika msimu huu…

Read More

Rais wa Zanzibar aipongeza kampuni ya Oryx Gas kwa kujenga bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati za gesi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Oryx Gas kwa kujenga bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati za gesi huku akizitaka kampuni za gesi kuhakikisha wanaweka mikakati itakayowezesha kupungua kwa bei ya gesi ili waipate kwa gharama nafuu.   Akizungumza mbele ya wananchi wa Zanzibar baada ya…

Read More