
RC Singida-wakuu wa idara watakaozalisha hoja za CAG wawajibishwe
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, ameagiza kuchukuliwa hatua kwa Wakuu wa Idara ambao watazalisha hoja mpya za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kama hatua ya kuimarisha utendaji kazi kwenye Halmashauri hizo. Dendego ametoa kauli hiyo katika Kikao Maalum cha kujadili hoja za CAG cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri…