NHIF YAINGIA MAKUBALIANO NA ZHSF 

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Bw.Bernard Konga (kulia) na  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF),Yaasin Juma,wakisaini (kuhsoto) wakibadilishana  Mkataba wa mashirikiano ya utoaji huduma za Afya kati ya Taasisi hizo mbili ,hafla iliyofanyika leo Juni 28,2024 jijini Dodoma. MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima…

Read More

Tanzania kukutana na mabalozi 9 kutatua changamoto za kikodi

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kukwamua changamoto zinazowakabili wawekezaji kutoka nchi zao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mabalozi walioomba kikao na Serikali ya Jamhuri ya…

Read More

WADAU WAKUTANA KUJADILI UTEKELEZAJI MALENGO YA SDGs

NAIBU  Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Dkt. Lorah Madete,akizungumza wakati akifungua  Warsha ya Jukwaa la  kitaifa ya kuimarisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) lililowashirikisha wadau kutoka Serikalini na asasi za kiraia lililofanyika leo Juni 28,2024 jijini Dodoma.   Mchumi Mwandamizi kutoka Ofisi a Rais – Tamisemi.  Idara ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bi….

Read More

Mbowe: CCM wanajua uchaguzi huru, haki hawatoboi

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejiahakikishia ushindi katika chaguzi zijazo huku kikibainisha kuwa uchaguzi huru Chama cha Mapinduzi (CCM) hawatatoboa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Juni 28, 2024 na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe, wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Dareda mjini Babati. Chama hicho kinaendelea na…

Read More

Sudan yakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula – DW – 28.06.2024

Ripoti iliyoandaliwa kwa kutumia kipimo cha kuboresha tathmini ya usalama wa upatikanaji wa chakula na mchakato wa kupitisha maamuzi, Integrated Food Security Phase Classification, IPC imerekodi kwamba katika miezi kumi na nne ya mzozo, Sudan inakabiliwa na viwango vibaya zaidi vya uhaba wa chakula. Aidha ripoti hiyo imedokeza kwamba mgogoro huo unatarajiwa kuathiri takriban watu…

Read More