
Mamia ya waombolezaji wajitokeza kuwaaga wanne wa familia moja
Rombo. Mamia ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamefurika kwenye mazishi ya ndugu watatu kati ya wanne wa familia moja waliofariki kwa ajali ya gari wakitokea harusini mkoani Dar es Salaam kurudi nyumbani kwao Rombo. Maziko ya wanafamilia hao yamefanyika leo Juni 28, 2024 katika makaburi ya familia yaliyopo…