
Mtoto wa siku moja atupwa kwenye ndoo Moro
Morogoro. Mwili wa mtoto mchanga (Kichanga) umeokotwa leo juni 28, baada ya kutelekezwa daraja la Kasanga Msikitini, Barabara ya Kuu ya Morogoro Iringa Mtaa wa Mgaza Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro na mtu ambaye hakufahamika. Akizungumza na Mwananchi Digital leo juni 28, Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mtaa wa Mgaza Spesioza Sylivestre amethibitisha…