
SERIKALI KUWANUSURU KIUCHUMI WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA – MAJALIWA
-Azindua Sera ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu zikae pamoja na Wizara ya Fedha na kuandaa mpango wa kitaifa wa kuwawezesha kujikimu vijana wanaoachana na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Amesema kutekelezwa…