
Bilioni 743 zatolewa kwa wanafunzi wa elimu ya juu
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa mwaka 2023/2024 hadi kufikia Juni, 2024 jumla ya wanafunzi 224,056 wamepatiwa mikopo yenye jumla ya Sh 743.2 bilioni sawa na asilimia 94.6 ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mikopo hiyo ni kwa ngazi ya stashahada, shahada ya…