
MAKALA: ALIYEKUWA MRAIBU KWA MIAKA 21, AANZISHA ASASI SEYOLBADA ILI KUIKOMBOA JAMII
Said ameeleza kwamba ,alikabiliwa na changamoto nyingi, kwani alikuwa akishikwa mara kwa mara na polisi , baadae familia iligundua kuwa kajiingiza kwenye matumizi hayo na kuanza kumkera aachane na vitendo hivyo. “Baadae nilikaa mwenyewe nikajifikiria mbona sijapata faida yeyote toka nianze kutumia dawa hizi baada ya kutumia kipindi kirefu ,sana sana niliathirika kiakili, kimwili na…