Simba yatema wawili wa kigeni

KATIKA kusuka kikosi kipya cha msimu ujao wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens imeachana na nyota wawili wa kigeni. Joanitha Ainembabazi Mabingwa hao mara wa nne wa WPL wameachana na Danai Bhobho raia wa Mzibabwe na Mganda Joanitha Ainembabazi. Habari kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya kikosi cha…

Read More

Tamaduni za kigeni chanzo ukatili wa kijinsia, mauji albino

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko amesema vitendo vya mmomonyoko wa maadili vinavyotokea nchini ikiwamo mauaji ya watu wenye ualbino na mapenzi ya jinsia moja ni matokeo ya Watanzania kuuacha utamaduni wao na kuukumbatia wa mataifa mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Biteko ameyasema hayo katika Tamasha la Utamaduni la Bulabo 2024 lililofanyika katika Kata…

Read More

Sababu kisayansi matiti ya mwanamke kusinyaa

Dar es Salaam. Kama ulikuwa na fikra kwamba ukinyonyesha mtoto matiti yako yatalala (kusinyaa), yafute mawazo hayo. Maziwa ya mama ndiyo chakula cha kwanza kwa kila mtoto anayekuja duniani na wataalamu wa afya wanaeleza kuwa ni kinga ya magonjwa mengi kwa mtoto. Hivyo mama anapomnyonyesha mtoto kwa usahihi, inaelezwa kuwa ni moja ya njia sahihi…

Read More

TEWW YAPONGEZWA KWA KUANDAA WATAALAMU WA ELIMU

  Mgeni Rasmi, Prof. James Mdoe (wa tatu kushoto akiwa ameketi), Mwenyekiti wa Baraza la Usimamizi  la TEWW, Dkt. Naomi Katunzi (kulia kwake), Mkuu wa Taasisi, Prof. Michael Ng’umbi (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya wahitimu wa mahafali ya 62 yaliyofanyika Dar es Salaam tarehe 26 Juni 2024. Baadhi ya wahitimu…

Read More

HAKUNA VIZIMBA AU MAENEO MENGINE YA KARIAKOO YALIYOGAWIWA AU KUUZWA SOKO LA KARIAKOO – UONGOZI SOKO LA KARIAKOO.

Shirika la Masoko ya Kariakoo linatoa taarifa kwa umma kwamba kwa sasa hakuna vizimba au maeneo mengine ya biashara yaliyogawiwa au kuuzwa kwenye soko la Kariakoo kama walivyodai baadhi ya wafanyabiashara walionukuliwa na vyombo vya habari hivi karibuni. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika hilo Sigsibert…

Read More

KAMPENI MPYA YA ‘ZIMA UKATILI, WASHA UPENDO’ YAZINDULIWA TANGA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO

Raisa Said,Tanga Kampeni ya miaka miwili iliyopewa jina la “Zima Ukatili, Washa Upendo” imezinduliwa jijini Tanga ili kukabiliana na ongezeko la matukio ya ukatili dhidi ya watoto kuanzia miaka sifuri kuendelea na ukatili wa kijinsia kwa ujumla jijini Tanga. Kampeni hiyo itakayo tekelezwa na Asasi iitwayo Tanga Youth Telents Association (TAYOTA) na kuungwa mkono na…

Read More