Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: June 2024

  • Home
  • 2024
  • June
  • Page 226
Michezo

Mziki wa Ouma washtua Coastal

June 5, 2024 Admin

KUONGOZA timu hadi kufanikiwa katika nchi ya kigeni si kazi rahisi kwa kocha yeyote yule. Ndio maana wakati kocha Mkenya David Ouma alipokubali ofa ya

Read More
Michezo

Yanga yalamba zawadi ya Tsh milioni 537.5 kutoka SportPesa

June 5, 2024 Admin

Club ya Yanga leo imepewa Tsh milioni 537.5 na Mdhani wao wa Mkuu SportPesa kama sehemu ya zawadi (bonus) ya kufanya vizuri katika msimu wa

Read More
Habari

Bei mafuta ya petroli, dizeli zashuka

June 5, 2024 Admin

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam inayoanza kutumika

Read More
Habari

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAAZIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUZINDUA VIUNGA VILIVYOBORESHWA VYA INDEPENDENCE SQUARE, DODOMA

June 5, 2024 Admin

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaji Jabir Shakimweri, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi viunga vilivyoboreshwa vya Independence Square, akiwa pamoja na Meneja wa Tawi

Read More
Habari

Serikali yapewa mkopo Sh427 bilioni kujenga hospitali Zanzibar

June 5, 2024 Admin

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea, Kiyeon amesema mkopo huo umetokana na ushirikiano mzuri kati ya serikali za Tanzania na Korea Kusini, huku

Read More
Habari

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024 AMTAKA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI MAKONDE KUONGEZA KASI YA UJENZI YA MATENGENEZO YA MRADI HUO

June 5, 2024 Admin

 KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2024 Godfrey Mnzava,amemtaka Mkandarasi kampuni ya China Civil Engineering Construction Corperation(CCECC) inayofanya kazi ya upanuzi na

Read More
Habari

Tottenham imewaaga nyota wanne baada ya kumalizika kwa mikataba yao.

June 5, 2024 Admin

Wawili kati yao tayari wamefanikiwa kuhamia vilabu vingine huku wengine wawili wakiwa wachezaji huru. Vijana wa Ange Postecoglou wanazidi kuimarika huku wakijiandaa kwa msimu wake

Read More
Habari

Hii hapa mikakati ya Serikali ya kupunguza ajali barabarani

June 5, 2024 Admin

Dodoma. Serikali imetaja mikakati inayotekeleza kupunguza ajali za barabarani,  ikiwamo kuifanyia marekebisho Sheria ya Usalama Barabarani. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini kwa

Read More
Habari

KATIBU MKUU ALLY SENGA GUGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA ANAEWAKILISHA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA

June 5, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Christine Grau (kulia) wakizungumza juu ya

Read More
Habari

Liverpool Yathibitisha Ofa ya Mkataba kwa Adrian.

June 5, 2024 Admin

Katika tukio la hivi majuzi, Klabu ya Soka ya Liverpool imethibitisha rasmi kwamba wametoa ofa ya mkataba kwa mlinda mlango wao, Adrian San Miguel del

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 225 226 227 … 263 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.