Bolt yamteua Dimmy Kanyankole kuwa Meneja Mpya wa Tanzania

Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafirishaji Tanzania na Barani Afrika, inafuraha kuwataarifu kuhusu uteuzi wa Bw.Dimmy Kanyankole kuwa Meneja mpya wa Bolt nchini Tanzania. Hatua hii ya kimkakati ni sehemu ya dhamira inayoendelea ya kampuni katika kuimarisha shughuli zake na uzoefu wa wateja katika kanda. Dimmy ni kiongozi atakayesimamia mapato yatokanayo na biashara na kufuatilia…

Read More

Yanga yatimba Azam FC kumng’oa Mtasingwa

KUNA kila dalili kiungo mkabaji wa Azam FC, Adolf Mtasingwa atasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga wikiendi hii. Mtasingwa ameonyesha kiwango bora miezi sita aliyocheza Ligi Kuu Bara akiitumikia Azam FC. Chanzo cha kuaminika kutoka Yanga kimeliambia Mwanaspoti kuwa wako kwenye mchakato wa kusaka kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kuwapa changamoto waliopo. Mmoja wa…

Read More

Guede kumpisha Sowah Yanga | Mwanaspoti

YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka miwili akitoka Medeama. Inaelezwa endapo dili lake litakamilika, kuna uwezekano mkubwa wa Yanga kutemana na raia wa Ivory Coast, Joseph Guede aliyejiunga na Yanga…

Read More

JIWE LA SIKU: Mambo manne kuibeba Simba msimu ujao

VIONGOZI wa Simba wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao baada ya kukosa taji la Ligi Kuu Bara kwa misimu mitatu mfululizo na kushuhudia likienda kwa watani wao Yanga ambao nao wameanza kujiimarisha zaidi. Katika kuthibitisha hilo, tayari Simba imeshatangaza kuachana na wachezaji sita, akiwamo aliyekuwa nahodha wa timu hiyo,…

Read More