Mpina atakiwa kuwasilisha ushahidi wa Bashe kusema uongo bungeni
Dodoma. Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge. Dk Tulia ametoa maelekezo hayo wakati akiahirisha Bunge leo Jumanne ya Juni 4, 2024 baada ya mbunge huyo kudai, “Waziri Bashe amesema uongo na amevunja sheria.” Wakati wa mabishano ya…