-Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati -Tanzania yapongezwa kufanya vizuri usambazi wa umeme kwa wananchi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu
Month: June 2024

ALIYEKUWA mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Raphael Bocco ‘Adebayor’, ametangaza rasmi kustaafu soka la ushindani baada ya kucheza kwa misimu 16 mfululizo huku akijitengenezea

Kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Baraza la Wakimbizi la Norway NRC, imeainisha mizozo 10 ya mwaka iliyopita iliyosahaulika na iliyochochewa kwa kiasi kikubwa

Songea. Francis Ngonyani, mkazi wa Songea, mkoani Ruvuma amefariki dunia baada ya kupigwa risasi mguuni na Polisi akidaiwa kujaribu kuwatoroka. Tukio hilo limetokea usiku wa

Gaborone. Letshego Holdings Namibia Limited (“Letshego Namibia” / “LHN”), a subsidiary of the pan African inclusive finance entity that has a presence in 11 Africa

Kama mambo yakienda sawa, mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake KMC, Waziri Junior anaweza akasaini Ihefu muda wowote, baada ya kurejea kutoka katika majukumu ya Taifa Stars.

Wachambuzi wanasema chama cha siasa za mrengo mkali wa kulia cha AfD ndicho kinapaswa kuwa na wasiwasi mkubwa kutokana na chama hiki kipya kinachojulikana kwa

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekopa Sh813.6 bilioni kwa mikopo sita ya miradi ya maendeleo na dhamana za Serikali kwa taasisi 14 zenye

Na Happiness Shayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana

KIPA mye ‘clean sheet’ nyingi Ligi Kuu Tanzania Bara, Ley Matampi amezua utata juu ya mkataba wake na waajiri wake Coastal Union baada ya pande