TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA UMEME KWA WANANCHI
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tanzania imepongezwa na Benki ya Dunia kwa kuwa miongoni mwa nchi inayoongoza kusambaza Nishati ya Umeme kwa wananchi wake Akizungumza leo Juni 4, 2024 ofisini kwake jijini Dodoma, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameishukuru Benki ya Dunia kwa pongezi…