CHAMA CHA USHIRIKA RUNALI CHAJENGA VITUO VYA MALIPO KURAHISISHA FEDHA ZA MALIPO KWA WAKULIMA
Elizaberth Msagula,Lindi HATIMAYE,ucheleweshaji wa Fedha za malipo ya wakulima wanaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika Runali kinachojumuisha wakulima wa Wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea Mkoani Lindi, itabaki historia baada ya chama hicho kujenga vituo vya malipo kwa wilaya za Ruangwa,Liwale na Nachingwea vitakavyotumika kuandaa na kuhakiki malipo ya wakulima hao kwa haraka…