Vifo Gaza vafikia 36,555, Ukingo wa Magharibi kwafukuta – DW – 04.06.2024
Mkuu huyo wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka kukomeshwa kwa ghasia zinazoendelea katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, akisema ni jambo lisiloeleweka kwamba zaidi ya Wapalestina 500 wameuawa huko tangu Oktoba 7. Volker Turk alisema takriban Wapalestina 505 wameuawa katika Ukingo wa Magharibi na jeshi la Israel na walowezi wa Ukingo…