Kijiji chapata maji safi na salama kwa mara ya kwanza tangu Uhuru
Adha ya upatikanaji wa maji safi na salama, iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kijiji cha Mherule, kata ya Mwanya Tarafa ya Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, imebaki historia baada ya serikali kutekeleza mradi wa maji safi na salama ya kunywa kijijini hapo. Anaripoti Victor Makinda, Morogoro…(endelea). Wakizungumza na MwanaHALISI Online wananchi wa kijiji hicho wamesema ujio…