MWALIMU AJIBIWE MAJIBU YA STAHA-DKT. MSONDE
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amesema, mwalimu ni mtumishi mwenye hadhi kama walivyo watumishi wenginge hivyo ni lazima ajibiwe kwa staha na viongozi wote wakiwemo wakurugenzi wa halmashauri, maafisa elimu wa ngazi zote pamoja na watumishi wengine wa Serikali. Dkt. Msonde ametoa wito huo kwa nyakati…