NSSF YATUMIA MAONYESHO YA 11 YA BIASHARA NA UTALII KUITANGAZA NSSF TAARIFA
Mkuu wa wilaya ya Muheza Zainabu Abdallah kushoto akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu wa Matekelezo Mkoa wa Tanga Wa MFUKO wa Taifa wa Hifadhi za Jamii nchini (NSSF) Abubakari Soud Mshangama MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian kulia akisalimiana na Afisa Matekelezo Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi za Jamii (NSSF)…