Tanga. Zaidi ya taa 600 za barabarani katika Jiji la Tanga zimebainika kuwa hazifanyi kazi kwa muda mrefu. Wafanyabiashara na watumiaji wa maeneo hayo wamelalamika
Month: June 2024

Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema suala la mgawanyo wa fedha za nyongeza ya Sh19 bilioni, wizara imepanga Sh14 bilioni ziwe za matumizi

BADO una nafasi ya kuendelea kuwa mshindi na kupiga mtonyo mrefu, kwa kushiriki promosheni ya Expanse ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Ili upate mgao

Dar es Salaam. Mshtakiwa Fadhil Athuman na wenzake wawili, wameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kuwabadilishia shtaka la mauaji linalowakabili liwe shtaka la mauaji bila kukusudia.

SHAHIDI wa tatu wa upande wa mashtaka, Kiran Lalit Ratilal katika kesi ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayowakabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha mpango wa kuwa na mkondo wa elimu ya amali kwa shule za sekondari na vyuo vya elimu ya ufundi na

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema ana nia ya kujenga chuo cha masuala ya anga nchini Tanzania kwa kushirikiana

Unguja. Wizara ya Afya imeainisha vipaumbele 10 itakavyotekeleza katika bajeti ya mwaka 2024/25 ikiwamo kupunguza vifo vya mama wajawazito kutoka vifo 145 kwa kila vizazi hai 100,000 kwa

Waziri Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo. Amesema hayo leo Juni 03,

Dar es Salaam. Wakala wa Taifa wa Barabara Tanzania (Tanroads) imesema upanuzi unaoendelea wa sehemu ya barabara ya Morogoro kutoka Ubungo hadi Kimara-Mwisho jijini Dar