
Kutochangamkia fursa kunavyochangia umasikini kwa Watanzania
Dar es Salaam. Imeelezwa kutokana na baadhi ya watu kukosa ujasiri wa kufanya uamuzi binafsi katika kuzichangamkia fursa, hali hiyo imesababisha walio wengi kuwa masikini. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi, Juni 27, 2024 na wadau mbalimbali katika mdahalo ulioandaliwa na Benki ya CRDB, ilipoungana na wadau wengine kuadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani (International MSME Day) kwa…