MKUTANO WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI LINALOSHUGHULIKIA MASUALA YA EAC NA MIPANGO WAANZA ARUSHA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Benjamini Mwesiga akichangia hoja kwenye Mkutano 33 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri linaloshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango ngazi ya Wataalam unaofanyika jijini Arusha.Mkutano 33 wa Baraza la Kisekta la…

Read More

Mpina aivaa wizara nzima ya Maliasili

Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa mara nyingine ameibua mjadala mkali bungeni safari hii akitoa kutoa wito kwa Bunge kumtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuchukua hatua kali dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki pamoja na watendaji wote wa wizara hiyo. Mpina, waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi ambaye ambaye kwa…

Read More

NAIBU WAZIRI PINDA AHIMIZA KULIPA KODI YA ARDHI

  Na Munir Shemweta Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wamiliki wa ardhi nchini kuhakikisha wanalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria.   Mhe Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe 3 Juni 204 alipokutana na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la…

Read More

Makonda aomba miezi sita kuwanyosha watumishi Arusha

Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao binafsi. Makonda amemwomba Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi kwenda kumwombea kwa Rais Samia Suluhu Hassan amvumilie kwa kipindi hiki cha…

Read More

MANSOOR INDUSTRIES LTD KAMPUNI BORA YA AFRICA 2024

  online TUESDAY Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani 2024; yatakayofanyika Kitaifa tarehe 5 Juni – 2024 Jijini Dodoma. Akizungumza na Waandishi wa Habari  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei 2024; Waziri wa…

Read More

CCM yamkaribisha Mchungaji Msigwa wa Chadema

Arusha. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimemkaribisha ndani ya chama hicho, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa.  Ukaribisho huo, umetangazwa leo Jumatatu, Juni 3, 2024 katika mkutano mkubwa wa hadhara, uliofanyika Soko la Kilombero, Arusha Mjini na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla….

Read More