OSTADH ADAIWA KULAWITI WATOTO 15 ,HUKO MAFIA , MKOANI PWANI
Mkuu wa wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, Aziza Mangosongo , amethibitisha kukamatwa kwa Ostadh wa Madrasa anaedaiwa kulawiti watoto zaidi ya Kumi ambapo pia zipo kesi nyingine zinaendelea kuchunguzwa. Aidha amesema, licha ya serikali kupambana kupiga vita vitendo vya ukatili dhidi ya watoto lakini bado baadhi ya wakazi wa kisiwa hicho, wameonekana kutia pamba…