Wagonjwa 36,404 wafikiwa na kambi ya madaktari bobezi
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema wagonjwa 36,404 kutoka mikoa 14 wamefikiwa katika huduma za matibabu kutoka kwa madaktari bingwa na bobezi, wanaozunguka wilaya mbalimbali nchini. Kambi hiyo iliyozinduliwa rasmi Mei 6 2024 na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imewafikia wagonjwa hao kwa kipindi cha siku 25 hadi kufikia Mei 31 2024 na kumekuwa…