Mchungaji Msigwa kupinga ushindi wa Sugu Kanda ya Nyasa
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amekata rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomng’oa madarakani na kumpa ushindi Joseph Mbilinyi (Sugu). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Mchungaji Msigwa ametangaza kusudio hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ikiwa ni siku chache tangu uchaguzi huo wa kusaka…