Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: June 2024

  • Home
  • 2024
  • June
  • Page 246
Michezo

SIO ZENGWE: Hili la kuahirisha tuzo ni kiburi kuwa sugu

June 3, 2024 Admin

MECHI ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya baina ya Borussia Dortmund na Real Madrid iliyofanyika juzi usiku imehitimisha msimu wa soka barani Ulaya,

Read More
Habari

Manchester United ‘wanalenga mshambuliaji wa Wolves mwenye thamani ya pauni milioni 60.

June 3, 2024 Admin

Manchester United wamemtambua mshambuliaji wa Wolves kama mmoja wapo wa walengwa wao muhimu katika uhamisho wa majira ya joto. Licha ya kutokuwa na uhakika juu

Read More
Habari

Ramaphosa akubali anguko la ANC, awaachia wananchi

June 3, 2024 Admin

Johannesburg. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya nchi hiyo ni ushindi wa demokrasia.  Katika

Read More
Habari

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA NBAA

June 3, 2024 Admin

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khamis Abdulla Saida akisaini kitabu katika Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi

Read More
Michezo

Hivi ndivyo pisi kali ya Ronaldo inavyopiga hela

June 3, 2024 Admin

RIYADH, SAUDI ARABIA: UTAJIRI wa supastaa Cristiano Ronaldo unaripotiwa kuwa Dola 600 milioni. Ni mkwanja mrefu kweli kweli. Lakini, ushawahi kujiuliza, mwanamke, ambaye Ronaldo amezama

Read More
Habari

Beki wa Real Madrid bado hajajibu kuhusu nia ya kusaini mkataba mpya.

June 3, 2024 Admin

Real Madrid kwa mara nyingine tena wamenyanyua kombe la Ligi ya Mabingwa, na ingawa kuna baadhi ya mashujaa wa wazi, kulikuwa na michango mingi ambayo

Read More
Michezo

TPC na mipango ya kuwainua wanawake gofu

June 3, 2024 Admin

KATIKA kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye mchezo wa gofu, klabu ya TPC Moshi imeanza rasmi mchakato wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kike. Mzuka wa

Read More
Habari

BILIONI 30 KUIMARISHA HUDUMA ZA WATOTO WACHANGA KATIKA HOSPITALI 100 NCHINI

June 3, 2024 Admin

Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kutumia shilingi bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga kwenye hospitali 100 nchini kwa kujenga wodi maalum (NCU) za

Read More
Habari

Mustakabali wa Bruno Fernandes ndani ya Man Utd.

June 3, 2024 Admin

Wakala wa Bruno Fernandes Miguel Pinho amekutana na vilabu vikuu vya Ulaya. Mkataba mpya wa Man Utd pia unawezekana lakini inategemea meneja na mradi mpya

Read More
Magazeti

Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL

June 3, 2024 Admin

Dar es Salaam. Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 245 246 247 … 263 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.