Benki ya NBC, Wachezaji wa Simba na Twiga Stars Waendesha Msimu wa Pili wa Kliniki ya Michezo kwa Watoto.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premiere League) imeendesha msimu wa pili wa program yake ya michezo kwa watoto inayofahamika kama NBC Chanua Account Football Clinic inayolenga kuibua vipaji sambamba na kuhamasisha wazazi kuweka akiba kwa ajili ya watoto wao. Hatua hiyo ni muendelezo wa…