Yanga yavunja rekodi ya Simba ikiiua Azam
KUNA lingine huko…ni swali lililokuwa likiulizwa kwa furaha na mashabiki wa Yanga baada ya timu hiyo kutetea taji la Kombe la Shirikisho kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Azam kwa penalti 6-5 katika fainali kali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan, mjini hapa. Katika fainali hiyo iliyochezeshwa na mwamuzi Ahmed Aragija lililolazimika kwenda…