TRADE MARK AFRIKA KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI NCHINI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiongoza Mkutano wa 47 wa Kamati Tendaji ya Kitaifa (National Oversight Committee -NOC) inayosimamia utekelezaji wa miradi ya kuwezesha na kuboresha mazingira ya biashara nchini kwa ufadhili wa TradeMark Africa (TMA), kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Natu El- maamry Mwamba, jijini…

Read More

WCF yaeleza utayari katika zama za akili mnemba (AI)

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma, amewahimiza waajiri nchini kutumia mifumo ya TEHAMA kupata huduma zitolewazo na Mfuko huo ili kupunguza gharama na kuokoamuda. Dkt. Mduma ameyasema hayo wakati akitoa salamu za Mfuko kwenye mkutano wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ulioambatana na kongamano la wadau lililokuwa…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Anwary aziingiza vitani Tanzania Prisons, Coastal Union

MAAFANDE wa Tanzania Prisons na Coastal Union wameingia vitani kuiwania saini ya mshambuliaji nyota wa Dodoma Jiji, Anuary Jabir. Straika huyo wa zamani wa Kagera Sugar aliyewahi kuichezea KAA Gent ya Ubelgiji kwa majaribio, ameziingiza vitani timu hizo, huku ikielezwa mabosi wa Dodoma Jiji wako tayari kumuongezea mkataba mpya. MASHUJAA imeanza mazungumzo ya kumpa mkataba…

Read More

Malisa ataka kesi yake ipelekwe mahakamani

Moshi. Mwanaharakati na Mkurugenzi wa GH Foundation, Godlisten Malisa ameendelea kuripoti katika ofisi za Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kilimanjaro (RCO) kutokana na tuhuma za uchochezi zinazomkabili. Malisa amesema amejipanga kukabiliana na tuhuma hizo na anataka kesi yake ipelekwe mahakamani. Ikiwa ni mara ya pili sasa, leo Juni 27, 2024, Malisa ameripoti kituoni hapo baada…

Read More

Simba yambakiza Mwamnyeto Yanga | Mwanaspoti

KUNA sababu tano za msingi zilizowafanya mabosi wa Yanga kukaa mezani na nahodha wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto kujadili dili jipya na mwisho wa siku kumpa mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Jangwani. Mwamnyeto aliyetua Yanga Agosti 2020 akitokea Coastal Union, mkataba wake na Yanga ulikuwa unamalizika Juni 30, mwaka huu, hivyo alibakisha takribani siku…

Read More

Msimu wa 4 wa tamasha la HipHop asili 2024

Kwa mara ya kwanza, mwaka 2024, Mji wa Bagamoyo utakuwa mwenyeji wa Kilele cha msimu wa Nne (4) wa Tamasha la HipHop Asili, utakaofanyika tarehe 28 – 29 Juni, 2024, katika Chuo cha Sanaa cha Bagamoyo (TASUBA). Ambapo wataalamu wa sanaa, wasanii kutoka pembe zote za dunia watakutana kusherehekea utamaduni wa HipHop. Mwaka huu tamasha…

Read More