Wananchi waendelea kusisitiza rais apunguziwe madaraka
Arusha. Wananchi wameendelea kung’ang’ania kipengele cha kupunguza madaraka ya Rais kiwekwe kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ikiwemo uwezo wa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri. Wakitaka nafasi hizo ziombwe na wasomi waliopo nchini kupitia ofisi ya Tamisemi. Mbali na hilo, wamesema kuwa Rais aondolewe uwezo wa nafasi 10 za kuteua wabunge, Katibu wa…