Makampuni 130 Afrika yapewa Tuzo

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TUZO za makampuni bora barani Afrika (ACOYA) zilizoandaliwa na The Global CEOs Institute wakishilikiana na Eastern Star Consulting Group Tanzania zaendelea kuwa chachu ya kuongeza ufanisi na uzalishaji wa bidhaa bora na zenye viwango ili kuleta tija katika ukuaji wa maendeleo na uchumi ndani ya Afrika. Hayo yamesemwa Mei…

Read More

Azam yatua kwa wajeda kubeba straika

AZAM FC imeanza usajili wa wachezaji  kwa ajili ya msimu ujao na tayari imewatambulisha mastaa wapya wanne, wakiwamo wawili kutoka Colombia na Mali, lakini haijaishia hapo kwani ipo hatua za mwisho kunasa saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa Mashujaa, Adam Adam. Hadi sasa Azam imewatambulisha Wacolombia, Ever Meza (kiungo) na Jhonier Branco (mshambuliaji) sambamba na beki…

Read More

DAWASA yafunga mita 150 za malipo ya kabla Dar na Pwani

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid meters) kwenye maeneo mbalimbali ambapo hadi kufikia tarehe 31 Mei mwaka huu, jumla ya mita 150 zimefungwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Utekelezaji wa zoezi hili…

Read More

Sekta ya fedha yawakumbuka wafugaji

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua akaunti ya mfugaji mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta ya ufugaji nchini.  Huduma hiyo ya kwanza kutambulishwa na benki hiyo nchini imeanzishwa maalumu kwa kundi hilo, pamoja na kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kupitia huduma za fedha zilizorahisishwa. Akizungumza Leo Jumapili Juni 2, 2024…

Read More

TOFAUTI ZA DINI, SIASA ZISIWAGAWE WATANZANIA – DKT. BITEKO

📌 Awataka waumini kushirikiana na Askofu Pangani 📌Serikali kuendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini 📌 Rais Samia apewa tuzo kwa uongozi uliotukuka na kulinda amani *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kudumisha amani, mshikamano na upendo na…

Read More

Sh999 bilioni zakusanywa uwekezaji ardhi Unguja, Pemba

 Unguja. Dola 384 milioni za Marekani (Sh999.6 bilioni) zimewekezwa katika visiwa vidogo vidogo Unguja na Pemba huku  Dola 20.5 milioni (Sh53.3 bilioni) tayari zimekusanywa zikiwa ni gharama ya uwekezaji ardhi.  Hatua hiyo imefikiwa baada ya mwaka 2021 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), iliruhusu uwekezaji wa visiwa vidogo vilivyopo Unguja na Pemba, kati ya visiwa…

Read More

Simba yamnyatia beki Mkenya | Mwanaspoti

KLABU ya  Simba Queens imeanza kufuatilia kwa ukaribu dili la beki wa kati wa Wiyeta FC ya Kenya, Lorine Ilavonga (17) katika mipango ya kufanya maboresho eneo la ulinzi kuelekea msimu ujao. Inaelezwa beki huyo ambaye mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu anahitajika na klabu mbalimbali ikiwemo Police Bullets ya nchini Kenya. Beki huyo…

Read More