
Kelvin ‘Mbappe’ kanyanyua upanga Denmark
KUNYANYUA upanga juu ni ishara tosha kuwa tayari kwa mapambano. Ndio! yupo tayari Kelvin John kwa hilo ikiwa ni siku chache tu tangu atambulishwe kuwa mchezaji mpya wa Aalborg BK ya Denmark baada ya kumaliza mkataba wa kuichezea KRC Genk ya Ubelgiji. Licha ya mambo kutomwendea vile ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi ndani ya miaka mitatu…