
Chama cha ANC kuanza kuunda serikali ya mseto – DW – 02.06.2024
Huku asilimia 99.91 ya kura zikiwa zimehesabiwa kufuatia uchaguzi wa Jumatano, chama cha rais Cyril Ramaphosa cha ANC kilikuwa kimepata asilimia 40.2, matokeo ambayo ni mabaya kulinganisha na mwaka 2019 ambapo kilishinda asilimia 57.5 ya kura. “Chama cha ANC kimejitolea kuunda serikali itakayodhihirisha ari ya umma, iliyo imara na inayoweza kuongoza barabara,” alisema katibu mkuu…