
Kitambi aisikilizia Geita Gold | Mwanaspoti
KOCHA Mkuu wa Geita Gold iliyoshuka kwenda Ligi ya Championship, Denis Kitambi amesema hatima yake itaamuliwa na bodi ya timu baada ya kufanya tathmini ya kumalizika msimu, huku akichomoa kueleza msimamo wake. Geita imeshuka Ligi Kuu sambamba na Mtibwa Sugar baada ya kudumu kwa misimu mitatu ikimaliza nafasi ya 15, ikivuna pointi 25 kupitia mechi…