
DORTMUND KUONDOA GUNDU LA WEMBLEY MBELE YA REAL MADRID FAINALI YA UEFA LEO?
SWALI kubwa ala kujiuliza ni je klabu ya Borussia Dortmund kutoka nchini Ujerumani wataweza kuondoa gundu katika dimba la Wembley dhidi ya Real Madrid katika mchezo fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya (Uefa). Klabu ya Borussia Dortmund fainali yao ya mwisho ya michuano hii walicheza katika dimba la Wembley mwaka 2013 dhidi ya mahasimu…