Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: June 2024

  • Home
  • 2024
  • June
  • Page 259
Habari

DKT.NCHIMBI ATETA NA VIONGOZI WA CCM,SERIKALI MKOANI MANYARA

June 1, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi

Read More
Michezo

MTU WA MPIRA: Aziz KI na mtihani mwingine kwa Yanga

June 1, 2024 Admin

STEPHANE Aziz Ki. Fahari ya Yanga kwa sasa. Amekuwa na msimu bora kuliko wakati mwingine wowote kwenye maisha yake ya soka. Amemaliza msimu akiwa kinara

Read More
Habari

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA MAMA WA JAJI MKUU

June 1, 2024 Admin

……….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Juni Mosi, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Bibi  Amina Nyanda Juma ambaye ni Mama

Read More
Habari

Rais Samia atembelea kituo cha kimataifa cha kubadilishana ujuzi Korea

June 1, 2024 Admin

Seoul. Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea Kituo cha Kimataifa cha Kubadilishana Ujuzi na Maendeleo (GKEDC) cha Korea ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake

Read More
Habari

Wawakilishi wacharuka utalii kupewa fedha kidogo

June 1, 2024 Admin

Unguja. Wakati Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, ikiainisha vipaumbele vinane katika mwaka wa fedha 2024/25, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameonyesha wasiwasi,  kutokana

Read More
Habari

Ahukumiwa kunyongwa kwa kulawiti, kubaka na kumuua mtoto

June 1, 2024 Admin

Arusha. Mahakama Kuu, Masijala ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu Said Bakari, kunyongwa hadi kufa,baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka,kumlawiti na kumuua kwa kumnyonga,mtoto

Read More
Habari

Sababu uchaguzi TLS kukosa ‘hamasa’

June 1, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ikiongeza muda wa siku saba kutoa nafasi kwa wanachama zaidi kujitokeza kugombea

Read More
Habari

BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI MANYARA

June 1, 2024 Admin

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi

Read More
Habari

Dk Mpango apokewa na harufu soko la Ilala, atoa wiki kwa wahusika

June 1, 2024 Admin

Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, ametoa maelekezo kuhakikisha kwamba tatizo la majitaka yanayotiririka na kutoa harufu kali katika soko la Ilala

Read More
Habari

ANC kinavyoshinda kwa jasho uchaguzi Afrika Kusini

June 1, 2024 Admin

Dar es Salaam. Ikiwa ni siku ya tatu kwa taifa la Afrika Kusini kuendelea kuhesabu matokeo ya uchaguzi,  chama tawala cha African National Congress (ANC)

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 258 259 260 … 263 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.